2 Kings 2:4

4 aKisha Ilya akamwambia, “Baki hapa, Al-Yasa. Bwana amenituma Yeriko.”

Naye akajibu, “Kwa hakika kama Bwana aishivyo na wewe uishivyo, sitakuacha.” Hivyo wakaenda Yeriko.

Copyright information for SwhKC